Biografia

Mulango huu ni wa lazima sana kwa sababu unaweka habari muhimu kuhusu maisha ya watu wa lazima sana katika taifa la Wanyanga wa Walikale.

Kama mutu anataka kuelewa taifa hili la Wanyanga, lazima ajue mafaa ya mashauri mazuri kutoka kwa viongozi wao wa asili, viongozi wao kiserkali, viongozi wao wa kisiasa, viongozi wao wa makanisa, wakuu wao kielimu pia wasanii wao.

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.